Hapo mnapishana kwenywe kusoma hizo mm. Wewe unatumia kipenyo cha ndani(internal diameter), wao wanatumia kipenyo cha nje (external diameter).
Tofauti yenu ni sehemu mnapochukulia vipimo.
Ukisoma hiyo pipe ya hardware utakuta imeanfika DN 12 ( yaani kipenyo cha nje) ambayo sawa na hiyo 10mm unayotafuta.
Pipes zinazalishwa kwa standard diameter (Unit). Hivyo unachotafuta kipo sokoni otherwise uwe umekosea kipimo.