Mkiu Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 261
- 278
Gari inashtua kijoti?.. Huu ugonjwa upo kwa rav4 sana kulingana na experience yangu.. Ni gari gani hyo?
Bila shaka hiyo ni Rav 4 old modelHabari za mchana wanajamvi.
Gari yangu ni automatic na lina tatizo ambalo bado sijalielewa, kila ninayemuuliza ananipa majibu yake.
Tatizo lenyewe ni hili: Ukiingiza gia (D) au ( R) inatoa kishindo na gari linashituka hapo gia inakuwa imeingia, halafu inachelewa kubadili kutoka namba moja kwenda namba mbili, na ikibadili gari linashtuka, tatizo ni nini?
Naomba msaada wajuzi wa mambo haya.