Kwa wajuzi wa majeshi na vita. Menes Tarimo alikuwepo kwenye sanduku??

Kwa wajuzi wa majeshi na vita. Menes Tarimo alikuwepo kwenye sanduku??

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Ni msiba wa yule jamaa aliyepigana vita nchini Ukraine.
Screenshot_20230128-152000.jpg


Hiv atakuwepo kweli au
 
Hawa wahuni kuna tetesi wanapeleka watu wasio wazawa mstari wa mbele vitani.
 
Jamaa asingeuwawa vitani angeula nchini urusi na kutunukiwa uraia wa nchi hiyo. Hii inaonesha urusi imeokoteza wapiganaji wengi toka mataifa mbalimbali duniani kupigana vita upande wake
 
Kwa mwili uliharibika kiasi kutotambulika sura, kuaga bila kufunua jenexa ni kawaida tu, mbali na majeshi hata watu wa kawaida wanakufa kwa aja ajari na maradhi mengine yenye kuharibu taswira ya mtu, hakuna ulazima wa kuaga kwa kufunua jenexa.
 
Kwahiyo wamezika mishkaki?au ndafu?
 
Hawa wahuni kuna tetesi wanapeleka watu wasio wazawa mstari wa mbele vitani.
Huoni watanzania wanaojionesha mitandaoni wakiwa jeshi la Marekani.

Kumbe kwenye operation za Marekani wanapelekwa front.


 
Unaweza kukusanyiwa vipande vya nyama ukaletewa vita siyo mchezo,
Alafu unakutana m tz anasema bora vita tu maana bongo hakuna amani wakati hata mlio wa risasi hajawahi kuskia
Mambo yanapokuwa mabaya binaadamu huamua chochote, wengine huchanganyikiwa na kujinyonga. Endelea kuliombea TAIFA, binaadamu akichoka amechoka tu hamna namna
 
Back
Top Bottom