Kwa wajuzi wa mambo ya kuweka fedha na huduma za kibenki, hili linawezekana?

Kwa wajuzi wa mambo ya kuweka fedha na huduma za kibenki, hili linawezekana?

Mtaule mgunda

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
193
Reaction score
61
Habari za jion wana jf,

Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu.

Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka hela nasema leo nianglie NBC mkonon lazima itakuwa kiasi fulani, ila nikiangalia nakuta ipo below matarajio.

Sasa maswali ni kuwa je labda navyoenda kuweka hela mawakala wanafanya ujanja huwa hawawek sometimes?

Japo nikimpa wakala ela risiti mara nyingi sichukui ila sms ya NBC mkononi huwa napata. Sasa inawezekana nikapata meseji alafu wakala akafanya ujanja kutoa pesa?

Naombeni msaada wa mawaxo.
 
Back
Top Bottom