goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
- Thread starter
- #21
Na ndicho nilichomuuliza hapo mwanzo mwanzo tu assume ndo mm sasa mlengwa angetafuta yy mashahidi wa kuthibitisha kuwa mm nilimpiga mke wangu maana hakuna hata sehemu moja niliyoandika mke kapigwa, au ilimradi tu mwanamke akikimbilia mahakamani kuwa amepigwa na mwanamke basi basi kinachofuata ni mwanamme kuhukumiwa bila kuwa na ushahidi?Kwa hiyo kwa maelezo mafupi tu haya umekamilisha ushahidi kua alimpiga mke wake?
Tuna watafsiri sheria wa hovyo Sana nchi Hii hamuishi kuamua Mambo kwa hisia na kuweka taaluma pembeni tangu muamue kua watetezi wa haki za kijinsia basi lengo kuu limekua kumsapoti mwanamke kwa kumkandamiza mwanaume hamuhitaji ushahidi wa kutosha kuamua kesi mnakurupuka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app