Kwa wajuzi wa Sheria. Naomba ufafanuzi kuhusu hili suala la mke kumfungulia kesi mume wake

Na ndicho nilichomuuliza hapo mwanzo mwanzo tu assume ndo mm sasa mlengwa angetafuta yy mashahidi wa kuthibitisha kuwa mm nilimpiga mke wangu maana hakuna hata sehemu moja niliyoandika mke kapigwa, au ilimradi tu mwanamke akikimbilia mahakamani kuwa amepigwa na mwanamke basi basi kinachofuata ni mwanamme kuhukumiwa bila kuwa na ushahidi?
 
nahitaji tofauti ya kugombana na kupigana?
Kugombana ni quarrel (kupishana Maneno, kutumia maneno ama matamshi ya ukali ) kupigana ni fighting .. Hivi shule mlienda kusomea ujinga!!
 
Mkuu hilo la kumpiga chini halina mjadala ila tu jamaa anachowaza ni namna gani au ni kwa vp hio kesi ilivoo kaa polisi na namna ya kuimaliza

Ulivyokua unampiga hukufikiria hayo, wakufunge kabisa ukapigane jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…