Kwa wajuzi wa sheria tafadhali msaada

Kwa wajuzi wa sheria tafadhali msaada

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿

Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya 2025 members wote
 
We pita nayo boda hapo utachukua temporary permit ukishsfika huku tuliza kichwa siku mbili Angalia connection ya kupata permanent....

Watakuja.
 
We pita nayo boda hapo utachukua temporary permit ukishsfika huku tuliza kichwa siku mbili Angalia connection ya kupata permanent....

Watakuja.
Kwaiyoo hapa boda nikipita nayoo poa iko na kila kitu longbook na barua ya chifu wa huku niliponunua
 
Kwaiyoo hapa boda nikipita nayoo poa iko na kila kitu longbook na barua ya chifu wa huku niliponunua
Nenda nayo mana sisi ni East Africa Kuna mambo hayawi complicated ila muhimu ni documents zote uwe nazo na hela sijui sh ngapi ila sio kubwa ukate hyo. Temporary..
 
Nenda nayo mana sisi ni East Africa Kuna mambo hayawi complicated ila muhimu ni documents zote uwe nazo na hela sijui sh ngapi ila sio kubwa ukate hyo. Temporary..
Ok hiyoo nimeelewa kaka kila kituu kipoo nilikuwa naturalisation nijee nyumban na hiyoo piki piki
 
We pita nayo boda hapo utachukua temporary permit ukishsfika huku tuliza kichwa siku mbili Angalia connection ya kupata permanent....

Watakuja.

Ushauri wa hovyo huu! Usije huku bila mpango na utaratibu, nashauri Bora uuze!
 
Ni hivii mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿 je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya 2025 members wotee
Endesha mpaka sirari au Namanga au Horohoro. Lazima pikipiki yako iwe na karatasi halali za kuimiliki to ka serikali ya Kenya. Hapo Mpakani watu wa TRA, wataithamini na kukwambia ni kiasi gani unatakiwa kulipia kama import duty. Utatumia risiti hizo kuja kuisajili huku Tanzania na kupewa namba za MC...xyz.
 
Ok hiyoo nimeelewa kaka kila kituu kipoo nilikuwa naturalisation nijee nyumban na hiyoo piki piki
Kuna Uzi humu walielezea km una vuka na vehicles border km hzo Inakuaje mana n karibu tu hapo.
 
Endesha mpaka sirari au Namanga au Horohoro. Lazima pikipiki yako iwe na karatasi halali a kuimiliki to ka serikali ya Kenya. Hapo Mpakani watu wa TRA, wataithamini na kukwambia ni kiasi gani unatakiwa kulipia kama import duty. Utatumia risiti hizo kuja kuisaji huku Tanzania na kupewa namba za MC...xyz.
Niko nairobi ninaprani nipite boda ya loitoktokit iko tarakea rombo kiongozi
 
Back
Top Bottom