kwa wakaka wa kitanzania tu

Smile jua maisha ya zamani si km ya sasa!
1. Sasa hivi gari ni necessity! Sio luxury! We don't have a public transport let alone be reliable! Unaposema kuna siku usafiri umekuwa shida nashindwa kukuelewa kama unaongelea mikoa km Morogoro nilipo au Dsm, Mwanza? Tafuta takwimu za Tanzania inapoteza TShs ngapi kwa siku na mwezi cuz of congestion! Sijui km u did consider hilo!
2. Mshahara kwa ulichoonesha hapo makato ni km 80%. Sheria ya Tanzania hairuhusu mtu akope na kukatwa zaidi ya 50% of his/her salary!
3. Trendy za ununuzi wa magari, influence kubwa ni nyie akina Smile..... u like fancy stuffs! Sasa kidume akiwa na gari anajua akina Smile watajileta wenyewe hivyo hata tumia nguvu nyingi sana!
4. Mwisho wa siku maisha ni mipango, na kila mtu anamipango yake (anajua jinsi ya kuipanga)! Hivyo priorities zako za maisha zinaweza zisiwe zangu au za yule. That's the true meaning of life and being a man!
 
Kwa nini mtu asiwe na gari kama ndo furaha yake?

Yeye anaishi sasa, afikirie wajukuu imehusu na nini?
Ni wewe gee?
Loh
Sio vizuri kuwa so selfish kiivo bwana mbona wenginewalisacrifice furaha zao bwana? Basi na wewe share nao icho kidogo
 
Ni wewe gee?
Loh
Sio vizuri kuwa so selfish kiivo bwana mbona wenginewalisacrifice furaha zao bwana? Basi na wewe share nao icho kidogo

Smile kuna mtu mmoja namjua, alikuwa na mashamba mahekari kwa mahekari tena beach huko kwao. Kayafuga kubakisha urithi wakati walikuwa wakiishi kwenye nyumba ndogooo, hawana hata pa kukaribisha mgeni.

Sasa faida gani hapo?
 

Hahaha unapambana kumpata. Mimi navyojua kupenda ni kama kifo inatokea tu unapenda sasa inawezekana ukampenda huyo wa bila usafiri humpati daladala hapandi.
Rocky wajua nini watu wanahangaika kununua magari coz ya kampani unakuta marafiki zako wote wana usafiri kila weekend wewe na mpenzi wako mnakuwa watu wakupewa lift kwenda out na kurudishwa, hatimaye unaona hapa nisipo fanya makeke ntakuta nanyanganywa..
 
Smile kuna mtu mmoja namjua, alikuwa na mashamba mahekari kwa mahekari tena beach huko kwao. Kayafuga kubakisha urithi wakati walikuwa wakiishi kwenye nyumba ndogooo, hawana hata pa kukaribisha mgeni.

Sasa faida gani hapo?
Tatizo gee mtu anachukua mkopo unamtesa yeye mwenyewe vibayamno
Yaani gari inalazimishwa hadi basi
 
huna mkopo wewe? sitaki kuishi kwa vijihela vya wasiwasi

Sina mkopo kwa sasa..Nilikopa nilipokuwa napaua nyumba yangu na nimeshamaliza kulipa..Kwa hiyo usiwe na wasiwasi. Nitachukua mkopo mkubwa kwa ajili ya kukufungulia biashara yako..
 

Mkuu nimekupata sana na najua unamaanisha nini mkuu
Hayo yapo sana mkuu na wengi wapo kwenye hivyo vitanzi ili kupata furaha ambayo sometime ni ya muda
Unakuwa nayo ukiwa ndani ya huo mkoko ila ukirudi kwako wakati umelala unaufikiria mkopo
Kweli tunafanya haya kutafuta furaha na ipo na tunaipata
 
daaah ndo mawazo yenu wakaka haya..... hatari kabisa ..kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jamani ponda mali kufa kwaja maana siku zinavyozidi kwenda miaka ya kuishi kwa mtanzania inapungua.
Jamani usijali utajenga baadae as long as viwanda cha twiga na tanga cement vipo.
Bado kijana kula maisha jamani usipo kula sasa usitegemee kufaidi uzeeni
 
unajua kweli kutukana, utadhania lusinde wa mtera.....!!!
 
Sina mkopo kwa sasa..Nilikopa nilipokuwa napaua nyumba yangu na nimeshamaliza kulipa..Kwa hiyo usiwe na wasiwasi. Nitachukua mkopo mkubwa kwa ajili ya kukufungulia biashara yako..
oke tutazunguka taasisi zote za hela mjini hapa tuhakikishe au nitaweka private detective aniangalizie hili swala
 

Mkuu imebidi nicheke
Kupambana usije ukaachwa
Na hilo lipo sana kwa kuwa kuna ile dhana ya kufikiria zaidi material things bila kuangalia upatikanaji wake
Maana kwa wakati huo huyo mdada atakuwa nakusifia tuu honey mkoko wako mzuri ila hajui umeupataje
Na asilimia yetu kubwa hatusemi kuwa niko kwenye mkopo
 
Tatizo gee mtu anachukua mkopo unamtesa yeye mwenyewe vibayamno
Yaani gari inalazimishwa hadi basi

Hapo sasa ni suala jengine.

Lakini kama haoni kuwa huo mkopo unamtesa, na anauwezo wa kuulipa......sioni tatizo hapo
 
mkuu unaona mawazo ya vijana wako wafanyie semina bwana
 

Awali ya yote napenda sana mwandiko wako!

Hapo kwenye red hivi wewe kwa akili yako kuna mapenzi kweli siku hizi? au isije kuwa smile ni kabinti ka miaka 20! maana hapo lazima utakuwa unamaujinga hayo unayoyasema! siku hizi mwanaume anakutokea anaomba game akikolea anaganda akiona service mbovu anakula kona! Mambo ya mapenzi wapende wazazi wako!
 

Mkuu tunaigiza sana maana usiponunua mkoko tabu, ukinunua mawazo ya kulipa mkoko.
Yani bila usafiri status flani inashuka, ukiupata kwa kukopa pia yale yale. Kwa vimishahara vya mil 1 mkuu bila kukopa mkoko hununui. Ukikopa pia kasheshe.
Daaah hii tamthilia
 
Dah hata wewe kaka
Kwa iyo hamna mtuanampenda mtu?
Mudy kweli unakubali kuteseka na bayport kisa sketi ?
 
jamani hakuna mapenzi ya kikweli kila msichana ana angalia nini ata gain toka kwako.
Au wewe ni famous, una ela, au anaona future in you. Na love inategemea status. Ukitaka pata mpenzi wa status flani sometime usafiri matters.
Wapo ambao hawaangalia hayo mambo lakini mpaka umpate na umjue kazi
 
Smile unaongea uzuri saaaana, lakini kuna vitu unaover look
Hapa dar es salaam siku izi gari co Luxurious Good rather necessity other wise hali iwe mbaya sana, Jaalia mfano huu:- nimepigana kwa mikopo ya salaries mpaka nimenunua kiwanja na kujenga Mbezi Msumi au Tabata Kinyerezi au Salasala Kinzudi, As days goes na hadhi pale ofisini kwangu posta imepanda kutoka benki teller sasa ni Customer Service Manager with frequency meeting with Corporate customers and CEO, natakiwa kuwahi ofisini kabla ya sub ordinates wangu ili niwezi kuwamanage vizuri, should I continue usingi dala dala plus boda boda nichafue tai na suti (occasionally) kisa naogopa mikopo????? noooo madam,
Ukiniambia ninvist M6 niliyonunulia kivitz changu nikaiweka kwenye hisa, DO U, DO U, do U narudia kusisitiza, real know enything about Hisa (shares)?????????
maisha ni vile unavyojipanga na kupigana nayo on daily basis na co kusoma vitabu vya kina Ben Carson na Ways to be Millionaire
 
Dah hata wewe kaka
Kwa iyo hamna mtuanampenda mtu?
Mudy kweli unakubali kuteseka na bayport kisa sketi ?

Tunatofautiana mimi hapa nilipo nina binti kesho kutwa jumamosi anatimia miaka mitano. Anasoma shule nzuri ambayo mimi sikusomeshwa na wazazi wangu. Kwahiyo mimi priority yangu sio gari kumbuka tunatofautiana.

Wewe priority yako nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…