Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 175
Smile jua maisha ya zamani si km ya sasa!
1. Sasa hivi gari ni necessity! Sio luxury! We don't have a public transport let alone be reliable! Unaposema kuna siku usafiri umekuwa shida nashindwa kukuelewa kama unaongelea mikoa km Morogoro nilipo au Dsm, Mwanza? Tafuta takwimu za Tanzania inapoteza TShs ngapi kwa siku na mwezi cuz of congestion! Sijui km u did consider hilo!
2. Mshahara kwa ulichoonesha hapo makato ni km 80%. Sheria ya Tanzania hairuhusu mtu akope na kukatwa zaidi ya 50% of his/her salary!
3. Trendy za ununuzi wa magari, influence kubwa ni nyie akina Smile..... u like fancy stuffs! Sasa kidume akiwa na gari anajua akina Smile watajileta wenyewe hivyo hata tumia nguvu nyingi sana!
4. Mwisho wa siku maisha ni mipango, na kila mtu anamipango yake (anajua jinsi ya kuipanga)! Hivyo priorities zako za maisha zinaweza zisiwe zangu au za yule. That's the true meaning of life and being a man!