kwa wakaka wa kitanzania tu

Tunatofautiana mimi hapa nilipo nina binti kesho kutwa jumamosi anatimia miaka mitano. Anasoma shule nzuri ambayo mimi sikusomeshwa na wazazi wangu. Kwahiyo mimi priority yangu sio gari kumbuka tunatofautiana.

Wewe priority yako nini?
Mudy hamna kitukizuri kama kuwa muwazi katika mapenzi
Watu wengi ndoa zao now zipo kwenye matatizo kwa sababu hawakujuana toka mwanzoni
Usihesabu furaha ya siku moja ije uishi miaka 70 kwa mateso
Maisha ni mapito kuna sehemu tunapitia lakini ni kwa muda tu
Personaly siishi kwasababu ya desire zangu za muda mfupi ninamuomba sana mungu anisaidie niweze kuwa mvumilivu
Najua siku zangu za furaha zipo tu na mimi nitafurahi oneday ilo nina hakika nalo
Siwezi kujilazimisha kuwa nina furaha ili watu wanione
Acha wanione hivihivi
Hata siku nikija kufanikiwa watakuwa wamejifunza
 

Samahani naomba nikuulize swali..... je umeolewa? upo kwenye uhusiano wowote?
 

Wacha tuu mkuu
Hata hicho kimshahara hata kujenga hakifai
Kuna kula tuu raha mwishowe tuangalie upepo unaendaje
Na watu wenyewe ndo hao wanaangalia mfuko umekaaje na mkoko wako ni wa bei gani
Ukiwa wa bei rahisi sana nao ni tabu
 
Gari ni muhimu sana katika maisha ya sasa. Kumbuka hayo magari public yana limitations, mfano huwezi kufika kila unapotaka. Gari linakupa uhuru zaidi. Mtazamo wa zamani ilikuwa ni lazima ujenge nyumba kwanza, lakini nyumba ni longterm investments. Unawekeza taratibu ila gari hata ukiwa na M 3 unapata. GARI KWANZA nyumba baadaye
 
Mimi ni single lady wa jf bana
Sina mahusiano yoyote rasmi

Ooooh ndio maana.......

Huwezi kusema kitu kikawa reality unless umekiexperiance, nashukuru kwa kunifahamisha kuwa unapiga soga tu hapa jf na sio unayoyasema yana reflect maisha yako.
 

Smile, nimekupenda. Lait ningekufahamu. Hivi umeolewa? Natafuta MKE
 
Maisha tz siku hizi ni maonesho sana. Kweli kabisa SMILE huyasemayo. vijana tubadirike tuache kuishi maisha ya tamthilia. Tuwe real pia. Sikukuu njema kwa wote.
 

Mkuu hapo kwenye red hapooooooo gani gani hiyo? maana bajaji tu ni 6 M.
 
Ningekuwa sijaoa, nimeshaona waifu matirio hapa.
 
Ooooh ndio maana.......

Huwezi kusema kitu kikawa reality unless umekiexperiance, nashukuru kwa kunifahamisha kuwa unapiga soga tu hapa jf na sio unayoyasema yana reflect maisha yako.
mimi ni mkubwa sana lakini sipo kwenye mahusiano
ujue mimi nipo real sana
sipendi kumdanganya mtu
wala sipendi kudanganywa
kwa sasa hamna mwanaume alie mkweli woote ni wanafiki
kama mtu anawezakuishi kwa kujidanganya mwenyewe je wewe usie hata ndugu yake?
Kuna faida gani kusishi na mtu asiekupenda?
Kuna haja gani kuutesa moyo wako
Heri kukaa mwenyewe kuliko kuchorana mjini hapa
 
kwa dar gari c sehemu ya starehe km unavyofikiri mm sina mkoko nilianza na nyumba nitamalizia na carina! ila siwezi kumshangaa junk yyte aliyeamua kuanza na gari hili jiji lina kero mbaya kubanana kwenye daladala, wizi nk! hata mm mjengo siumalizii tena ni bora ninunue ndinga finishing nitafanya taratibu! ingelikuwa daladala unazosema km za Kenya au brazaville ambazo ni level seat hapo ningekuelewa lkn hiza dala2 za bongo mmhhh!
 
Mchawi mlaumuni ila sifazake mpeni, naunga mkono hoja ya mdada ingawaje wenye magari ya mkopo hawata kubali.
 

Mkubwa sana ndio umri gani huo?.......taja umri wako nitakushauri kitu.
 
Sijakuelewa bado hivi wewe Mwanaume mwenye Prado na mwenye Nyumba chamazi sijui kete yako itaanzia wapi? usitake kujifanyafanya hapa wakati watu kama nyinyi mnashoboka hata kwa Ma V8 za serikali STJ.

Alafu cha ajabu hata ukitembea na hati jumba la mamia ya milion bado utaonekana kituko tuu, kama kipaumbele chako ni kuuza sura go for car first:nono::nono::nono:
 
kujenga baadae sana puuu daladala za dar zimenishinda labda ungeniambia dala2 za kenya ambazo ni level seat hpa nasuburia mkopo wangu baada ya miezi 2 ijayo nitakuwa nimeingia rodini!
 
kujenga baadae sana puuu daladala za dar zimenishinda labda ungeniambia dala2 za kenya ambazo ni level seat hpa nasuburia mkopo wangu baada ya miezi 2 ijayo nitakuwa nimeingia rodini!
hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…