Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
- Thread starter
- #61
Mudy hamna kitukizuri kama kuwa muwazi katika mapenziTunatofautiana mimi hapa nilipo nina binti kesho kutwa jumamosi anatimia miaka mitano. Anasoma shule nzuri ambayo mimi sikusomeshwa na wazazi wangu. Kwahiyo mimi priority yangu sio gari kumbuka tunatofautiana.
Wewe priority yako nini?
Watu wengi ndoa zao now zipo kwenye matatizo kwa sababu hawakujuana toka mwanzoni
Usihesabu furaha ya siku moja ije uishi miaka 70 kwa mateso
Maisha ni mapito kuna sehemu tunapitia lakini ni kwa muda tu
Personaly siishi kwasababu ya desire zangu za muda mfupi ninamuomba sana mungu anisaidie niweze kuwa mvumilivu
Najua siku zangu za furaha zipo tu na mimi nitafurahi oneday ilo nina hakika nalo
Siwezi kujilazimisha kuwa nina furaha ili watu wanione
Acha wanione hivihivi
Hata siku nikija kufanikiwa watakuwa wamejifunza