maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 691
ThubutuuuuHii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapo
Amna sopa kwa mwe nyekundu sema atafungwa goli la kawaida tuNi zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?
Baba jesca Kawaambia kuwa huu mda wa kubana matumiziDraft limechunika balaa,acheni ubahili wekeni kioo
View attachment 451488
Ukishazicheza kimpangilio kwa kufuata hizo namba.
Tumia kete namba 2 wewe kwenda kingi, utamfosi na yeye aingie hivyo mtatafutana kwa goli la kawaida.
Ukicheza kete namba moja, unapata njia ya kuipeleka namba mbili kulia.Mkuu number 2 inapitaje kwenda kingi hapo
Ukicheza kete namba moja, unapata njia ya kuipeleka namba mbili kulia.
Kete yoyote atakayocheza (labda akuingize kingi) wewe unampa kete namba tatu ili kuipa kete namba mbili kunyoosha kwenda kingi kwa upande wa kushoto wa kete namba mbili.
Ndiyo ni goal, mleta uzi kataka uepuke supa.ukicheza namba 3 atakula mbili , hivyo ww utabaki na kete moja kwa 6 , automatically ni goal
Hamna supa hapo unachukua ya pembeni unampa ale bure kisha una sogeza ya meja mbele.Hii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapo
Hivi MOD hawawezi ku-embed gemu kama hizi watu wakawa wanacheza kutokea mbalimbali online
Invisible?
Wengine tukawa tunaangalia pembeni. Panatakiwa pawe na live streaming ya hiyo app lakini iwe ndani ya database ya JF. Ukienda kwenye supported games mnajiona wote pale watazamaji na wachezaji. mtu anapigwa super anakaa pembeni.
Watafute namna ya kutengeneza kijiwe ndani ya JF.
Hapo cha kwanza anamchekecha, akishamchekecha anaminyia kushoto.Ni zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?