Kwa wakali wa draft

Kwa wakali wa draft

Ni zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?
03f806f6af12f4d9f1531ba2de9a9226.jpg
Amna sopa kwa mwe nyekundu sema atafungwa goli la kawaida tu
 
IMG_20161228_232643_763.jpg

Ukishazicheza kimpangilio kwa kufuata hizo namba.
Tumia kete namba 2 wewe kwenda kingi, utamfosi na yeye aingie hivyo mtatafutana kwa goli la kawaida.
 
Mkuu number 2 inapitaje kwenda kingi hapo
Ukicheza kete namba moja, unapata njia ya kuipeleka namba mbili kulia.
Kete yoyote atakayocheza (labda akuingize kingi) wewe unampa kete namba tatu ili kuipa kete namba mbili kunyoosha kwenda kingi kwa upande wa kushoto wa kete namba mbili.
 
ukicheza namba 3 atakula mbili , hivyo ww utabaki na kete moja kwa 6 , automatically ni goal
 
Unampa kete ya hapo kwenye touch... akila unaisogeza iyo kete inayofata..... ukicheza nakupa kete inayoenda mbele... unakula mbili.. then napita ukikutana na boya ni super au goli ila master km mimi na sare iyo
 
Hivi MOD hawawezi ku-embed gemu kama hizi watu wakawa wanacheza kutokea mbalimbali online
Invisible?
Wengine tukawa tunaangalia pembeni. Panatakiwa pawe na hiyo app lakini iwe ndani ya JF. Ukienda kwenye supported games mnaonekana wote pale ( Artificiallly) watazamaji na wachezaji. Mtu anapigwa super anakaa pembeni.

Watafute namna ya kutengeneza kijiwe ndani ya JF.
 
Hivi kumbe inawezekana...? Wafanye hivyo
Hivi MOD hawawezi ku-embed gemu kama hizi watu wakawa wanacheza kutokea mbalimbali online
Invisible?
Wengine tukawa tunaangalia pembeni. Panatakiwa pawe na live streaming ya hiyo app lakini iwe ndani ya database ya JF. Ukienda kwenye supported games mnajiona wote pale watazamaji na wachezaji. mtu anapigwa super anakaa pembeni.

Watafute namna ya kutengeneza kijiwe ndani ya JF.
 
Ni zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?
03f806f6af12f4d9f1531ba2de9a9226.jpg
Hapo cha kwanza anamchekecha, akishamchekecha anaminyia kushoto.
Jamaa analegea, then anampa. Jamaa akila tuu ye anaukuma, ukipata chance ya kusukuma ndo unaweka kete ya mauaji.
Na mchezo unaisha kwa droo.
 
Back
Top Bottom