CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Nta kusubiri stand kukupokea!
Bado shosti ndo naingia geita mtandao nao unazingua!
Bado shosti ndo naingia geita mtandao nao unazingua!
Msaada tafadhali; Ni maeneo yepi mwanza zinapatikana huduma hizi: uuzaji wa pamba za ukwee, quality salon na viwanja vya kula bata vya ukwel?
Hahahahahahah cyo hivyo shosti uchovu wa safari ulinifanya nilale more than 8hrs,bt nilifika tbr salama,thanx 4asking!!
Hahahahahahah cyo hivyo shosti uchovu wa safari ulinifanya nilale more than 8hrs,bt nilifika tbr salama,thanx 4asking!!