Mihama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Wajinga wengi wanajazwa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mchunpaji mwingine namsikia usiku capital radio na efm aise akili yangu imegoma kabisa kuamini kuwa zile simu anazopokea sio maigizo.
Haaahaaa 😊😊 Mimi Ni mtu ambae sikua najulikana Sana na wengi na sikukaaga Sana urambo Ila nilikua nipo karibu na watu wanaojulikana urambo ndio maana ikawa rahisi kuwajuaDr am 4 real na sumbai nyie takuwa nawajua na tumewahi kukutana mahali.
Sizani,Hahaha mama Unono jina nimekukumbuka..
Hivi Yale mabasi ya Anam bado yapo??
Hahaha hapana mkuuu, Mimi nimekaa Urambo Kwa muda mfupi kipindi mzee wangu amehamishiwa huko.Dr am 4 real na sumbai nyie takuwa nawajua na tumewahi kukutana mahali.
Inasikitisha sanaUrambo mjini. Pentekoste church.
Na kama ni mwenyeji wa urambo mjini, huwezi kuacha kuwafahamu hao watu.
Mi binafsi kuna habari nazifanyia utafiti, ikiwa kuna mtu anawafahamu kwa undani
Tayari umesha naza faster namna hiiMa
Mawasiliano yake kama yapo?
Ni kina zumaridiNimesoma urambo day sekondari huyo elia kumenya aliwahi kuwa na duka soko la urambo lilipoungua dukani kwake yalitoka mavisoke. Hawa jamaa ni wapiga dili tu huyu elidadi anaduka la mitumba hapo urambo.
Elia kumenya ni mchawi anatoa watoti wake ndagu. Nimekaa majengo ya kaliua nawafahamu vizuri .
Ila huyu frola ndio simfahamu.atakuwa hanamuda mrefu hapo urambo.
Mm siyo mwenyeji wa urambo Ila niliwai kuish hapo urambo nikifanya Kaz Kama afs was bank hapo nmb jirani kbsa na ofc ya spika wa bunge kwa wakt ule amaa hakika leo mmenikumbusha mbali snaHaaaahaaa bado yapobtalikuwa yanapenda kukaa karibu na kwa chambara .ila urambo imebadirika rami mpaka vichochoroni.
Mahama[emoji1][emoji1]Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
MakingiHuyo tigo alikuwa ukombozi sekondari
Ana tako??Mke wa elidadi ni mweupe mfupi mnene alikuwa anaimba kwaya ya victoria ya hapohapo pentekoste.hiyo kways imegawanyika kwasasa baada ya pentekoste kujenga kanisa broko