Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ivi urambo day si ndo ile shule ipo kalemelaNisasahihi kama mkeo kasoma urambo day miaka hiyo atakuwa ananijua maana nilikuwa maarufu.kuna mshikaji pia tulipiga nae day yupo kazi maalum siwezi kumtaja hapa.
Walikuwa wanavaa suruali za blue ukiwa stesheni urambo unaiona shule kwa mbali