Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

Sijasoma hapo ukombozi Ila huko ndio kwenye ardhi ya mababu zangu nilikua huko kwa mission maalum 2005 mpk 2009
So napajua nje ndani mitaa yangu ilikua hapo kwa marehemu samwel sitta kwa rafik yake marehemu mzee chambala nimekaa sanaa hayo maeneo
Hatupishani sana mm pia nilikuwa hapo 2006-2009 ila baada ya hapo nimekuwa nikienda na kurudi hapo nikama nyumbani .kuna jamaa anaitwa david chambara sijui yuko wapi.mitaa ya sita nilikuwa napita sana naenda boma village kulikuwa na demu wangu
 
Mke wa elidadi ni mweupe mfupi mnene alikuwa anaimba kwaya ya victoria ya hapohapo pentekoste.hiyo kways imegawanyika kwasasa baada ya pentekoste kujenga kanisa broko
Hahahaha wajinga ndio waliwao yani hadi mnafata utabairi wa vifo duu kweli mna utindio wa ubongo
Nabii kutoka tabora 😂😂🤣🤣
 
Hatupishani sana mm pia nilikuwa hapo 2006-2009 ila baada ya hapo nimekuwa nikienda na kurudi hapo nikama nyumbani .kuna jamaa anaitwa david chambara sijui yuko wapi.mitaa ya sita nilikuwa napita sana naenda boma village kulikuwa na demu wangu
Kumbe unamjua bwana mdogo etu
Dogo now yupo kazi maalum..milima haikutani binadamu hukutanaa

Ukinitajia jina lako nikimwambia wife lazima atakua anakujua😊

Mengineo sio ya kuandika humu😅
 
Kumbe unamjua bwana mdogo etu
Dogo now yupo kazi maalum..milima haikutani binadamu hukutanaa

Ukinitajia jina lako nikimwambia wife lazima atakua anakujua😊

Mengineo sio ya kuandika humu😅
Nisasahihi kama mkeo kasoma urambo day miaka hiyo atakuwa ananijua maana nilikuwa maarufu.kuna mshikaji pia tulipiga nae day yupo kazi maalum siwezi kumtaja hapa.
 
Hatupishani sana mm pia nilikuwa hapo 2006-2009 ila baada ya hapo nimekuwa nikienda na kurudi hapo nikama nyumbani .kuna jamaa anaitwa david chambara sijui yuko wapi.mitaa ya sita nilikuwa napita sana naenda boma village kulikuwa na demu wangu
Boma village ndio palikuwa makazi yangu ya muda. At least ndio palikuwa pamejengeka kidogo.

Hivi Yale mandege mwalabu yapo??
 
Msabila Kama sikosei alikua ukombozi secondary
Hapo ukombozi primary Ni kwa mwalimu Ibrahimu
Okay, kuna mwalimu mmoja alikuwaga kipofu hivi...alikuwa anafundisha study za Kazi.

Alikuwa pamoja na ukipofu wake alikua anatandika stik saana. Na anajua wanafunzi wote darsaani.
Around 2003-.....
 
Naanza na eldad Ni mtumishi wa mungu mwenye karama ya unabii, maono, uponyaji yupo kanisa la Pentecoste urambo (majengo ya kaliua) Hana cheo chochote na huwa hataki vyeo huduma yake Ni kama ya mchungaji mwakasege Ni shemasi TU wa kawaida amebeba huduma kubwa ndani yake..
Nabii anatabiria watu kifo ili iwaje? Mwambie aache kupandikiza hofu, Mungu wetu ni wa amani na anatuwazia mema katika siku zetu.
 
Back
Top Bottom