Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Nyie watu wa Urambo bwana japo ni shemeji zangu ila hamueleweki. We upo Urambo, unakuja na Fake ID unauliza maswali ili sisi wa Nangurukuru tukujibu au unajipigia promo nini humu Nabii Flora?Duh! Hao kina kumenya si wapo mkubwa na mdogo? Au unamzungumzia mkubwa?
Japo nadhani wote wana maduka.
Mch flora yupo nsenda, ana kanisa kule itebulanda.
Ninachohitaji kufahamu ni kuhusu umoja wao wa meza ya duara!