Kwa wakazi wa Zanzibar ofa hii hapa
Habari wakuu,! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80.
Nipo zanzibar mtoni jeshini. Ni kitanda tu bila godoro. Pia nauza honda aina ya klick iko vzr, jino moja tu unaamsha. Bei million 2 na laki 6 tu
0679478758.
-
Screenshot_20231127-072649_Gallery.jpg
63.3 KB
· Views: 11
-
Screenshot_20231127-072607_Gallery.jpg
43.8 KB
· Views: 9
Habari wakuu! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80.
Nipo Zanzibar mtoni Jeshini. Ni kitanda tu bila godoro. Pia nauza honda aina ya klick iko vizuri, jino moja tu unaamsha. Bei million 2 na laki 6 tu.
View attachment 2826337
0679478758.