Kwa wakenya na majirani wa Kenya

Kwa wakenya na majirani wa Kenya

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
wakuu habari

Naomba niwatake wakenya wote na wanaafrika mashariki kwa ujumla tusimame pamoja kuomba uchaguzi wenye amani tele kwa maslahi ya kenya na wanaafrika mashariki kwa ujumla, uchaguzi wa kenya ni muhimu kuwa salama kwa sababu ni ukweli usiopingika kuwa kenya ndio kinara wa uchumi imara kwa sasa

Kenya ni kipenzi chetu kwa maslahi ya afrika mashariki uchaguzi utukuja utapita kenya itabaki, hivyo suala la amani na roho za wakenya na wanaafrika mashariki ni la kupewa kipaumbele sababu kwa sasa ni waziwazi muingiliano wa wanaafrika mashariki sisi sote ni ndugu, kama alivyosema rais mseven alipokuwa tanga hapo juzi

raia wa afrika mashariki wanakuwa huru zaid ndani ya afrika mashariki ndio maana mara kadhaa utasikia raia wa afrika mashariki waishio ughaibuni utasikia wakihangaika kutafuta waganda wakenya au watanzania,....... "utasikia niko Tampa Florida natafuta mtu yeyote wa afrika mashariki aliyekaribu na hapa"

Ni jukumu la kila raia wa afrika mashariki kuombea uchaguzi wenye heri na amani kwakuwa roho za wakenya ni zenye thaman kuliko uchaguzi, tumuombe mungu atuepushe umwagi wa aina yeyote usitokee sababu ya uchaguzi huu.

Mimi nikiwa mkaazi wa kisauni Mombasa na Dar es salaam ni jukumu langu kuhakikisha naomba amani kwasababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulinda maslahi yetu kibiashara

kila lenye kheri liwe na wakenya 8 August 2017

Nawatakia uchaguzi Mwema na wenye amani Tele.

Wimbo wa Juliani ft wakenya -Utawala...uwafikie wakenya wote popote walipo.
 
Amani itatamalaki, piga kura na kuendelea na shughuli za kusaka hela, mengine watajua wenyewe.
 
Mie naombea uchaguzi uwe wa amani lakini haya matukio ya vifo kwa watu wanaoshughulikia uchaguzi yananipa hofu kubwa sana.
 
If uchaguzi is that terrifying thing, then nafikiri tutunge katiba kufuta chaguzi. Hakuna maana ya uchaguzi tena.
 
wakuu habari

Naomba niwatake wakenya wote na wanaafrika mashariki kwa ujumla tusimame pamoja kuomba uchaguzi wenye amani tele kwa maslahi ya kenya na wanaafrika mashariki kwa ujumla, uchaguzi wa kenya ni muhimu kuwa salama kwa sababu ni ukweli usiopingika kuwa kenya ndio kinara wa uchumi imara kwa sasa

Kenya ni kipenzi chetu kwa maslahi ya afrika mashariki uchaguzi utukuja utapita kenya itabaki, hivyo suala la amani na roho za wakenya na wanaafrika mashariki ni la kupewa kipaumbele sababu kwa sasa ni waziwazi muingiliano wa wanaafrika mashariki sisi sote ni ndugu, kama alivyosema rais mseven alipokuwa tanga hapo juzi

raia wa afrika mashariki wanakuwa huru zaid ndani ya afrika mashariki ndio maana mara kadhaa utasikia raia wa afrika mashariki waishio ughaibuni utasikia wakihangaika kutafuta waganda wakenya au watanzania,....... "utasikia niko Tampa Florida natafuta mtu yeyote wa afrika mashariki aliyekaribu na hapa"

Ni jukumu la kila raia wa afrika mashariki kuombea uchaguzi wenye heri na amani kwakuwa roho za wakenya ni zenye thaman kuliko uchaguzi, tumuombe mungu atuepushe umwagi wa aina yeyote usitokee sababu ya uchaguzi huu.

Mimi nikiwa mkaazi wa kisauni Mombasa na Dar es salaam ni jukumu langu kuhakikisha naomba amani kwasababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulinda maslahi yetu kibiashara

kila lenye kheri liwe na wakenya 8 August 2017

Wakenya ni wajinga, eti wote wanakubali kushikiwa akili zao na Raila Odinga Uhuru Kenya, yaani Raila akisema ingia barabarani na uaneni nao wanafwata kama Nyumbu wa Serengeti, Kenya Amani ya kudumu itakuja tu wakiacha kuabudu Binadamu sijui Odinga mara Kenyata n.k.'
 
Mungu ailinde nchi yetu tukufu ya Kenya, tuishi kwa amani na upendo. Amina
 
Kuna maisha baada ya uchaguzi, kumwaga damu yako au ya Mtu mwingine kwa ajili ya Raila au Uhuru ni kutojitambua kusiko na kipimo.Watu tunaowachagua ni binadamu na huenda wakapata madaraka halafu wakafanya kinyume kabisa na mlivyahaidiana na kibaya zaidi kujali familia zao na matumbo yao kuliko taifa hivyo Jirani Mkenya kabla hujafa au kuua siku ya matokeo tafakari haya,uchaguzi mwema.
 
kama kenyatta hajajifunza 2007 basi tena wacha wauane tu.
 
Wakenya ni wajinga, eti wote wanakubali kushikiwa akili zao na Raila Odinga Uhuru Kenya, yaani Raila akisema ingia barabarani na uaneni nao wanafwata kama Nyumbu wa Serengeti, Kenya Amani ya kudumu itakuja tu wakiacha kuabudu Binadamu sijui Odinga mara Kenyata n.k.'
We kijamaa ni una hoja za kijinga kweli,,,,, mzima kweli,,,,,, hembu tafuta kusoma hata darasa la saba ufike ndugu,,,,, mbona unatudhalilisha? Ahh acha majukwaa ya nje wewe,,,,,, anyway best wishes for all Kenyans,,,, hopefully tomorrow will be a better day until your election process ends in peace,,,,, good luck........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kenyatta hajajifunza 2007 basi tena wacha wauane tu.
Acha pararira wewe, Kenyatta ndo alikuwa rais 07'?Alikuwa anagombea urais? Alikuwa na cheo kwenye serikali? Tunajua aliyekataa kufata sheria akakataa kuenda mahakamani. Aliyewaambia wafuasi wake waanze 'mass action' ni Uhuru? Kama hujui sema! Tutakuelimisha.
 
watu wameweka pembeni katiba Mpya wako kwenye hulka zao
 
We kijamaa ni una hoja za kijinga kweli,,,,, mzima kweli,,,,,, hembu tafuta kusoma hata darasa la saba ufike ndugu,,,,, mbona unatudhalilisha? Ahh acha majukwaa ya nje wewe,,,,,, anyway best wishes for all Kenyans,,,, hopefully tomorrow will be a better day until your election process ends in peace,,,,, good luck........

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana na mimi, nikudhalilishe kwani unanijua mimi?
 
Back
Top Bottom