falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
wakuu habari
Naomba niwatake wakenya wote na wanaafrika mashariki kwa ujumla tusimame pamoja kuomba uchaguzi wenye amani tele kwa maslahi ya kenya na wanaafrika mashariki kwa ujumla, uchaguzi wa kenya ni muhimu kuwa salama kwa sababu ni ukweli usiopingika kuwa kenya ndio kinara wa uchumi imara kwa sasa
Kenya ni kipenzi chetu kwa maslahi ya afrika mashariki uchaguzi utukuja utapita kenya itabaki, hivyo suala la amani na roho za wakenya na wanaafrika mashariki ni la kupewa kipaumbele sababu kwa sasa ni waziwazi muingiliano wa wanaafrika mashariki sisi sote ni ndugu, kama alivyosema rais mseven alipokuwa tanga hapo juzi
raia wa afrika mashariki wanakuwa huru zaid ndani ya afrika mashariki ndio maana mara kadhaa utasikia raia wa afrika mashariki waishio ughaibuni utasikia wakihangaika kutafuta waganda wakenya au watanzania,....... "utasikia niko Tampa Florida natafuta mtu yeyote wa afrika mashariki aliyekaribu na hapa"
Ni jukumu la kila raia wa afrika mashariki kuombea uchaguzi wenye heri na amani kwakuwa roho za wakenya ni zenye thaman kuliko uchaguzi, tumuombe mungu atuepushe umwagi wa aina yeyote usitokee sababu ya uchaguzi huu.
Mimi nikiwa mkaazi wa kisauni Mombasa na Dar es salaam ni jukumu langu kuhakikisha naomba amani kwasababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kulinda maslahi yetu kibiashara
kila lenye kheri liwe na wakenya 8 August 2017