pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Ndio huyo rasta?O level
Huyo ni Field Marshal Musa Mwariama aliye kizimbani na 'rasta' fupi ndiye Waruhiu Itote, a.k.a General China wote wawili walikuwa wanaongoza vikosi vya wapiganaji wa Mau Mau. Pamoja na viongozi wengine kama Field Marshal Dedan Kimathi, General Mathenge, General Kahiu Itina na Field Marshal Muthoni Wa Kirima(mwanamke pekee aliyekuwa kwenye ngazi za juu za uongozi wa Mau Mau). Wa'rasta' ndio waliiga huo mtindo wa kufuga na kusokota nywele kutoka kwa Mau Mau enzi hizo za miaka ya 1940 na 50's. Huo ndio ulikuwa utamaduni wa wakikuyu tangu jadi, kwa wanaume. Vijana walikuwa wanaanza kufuga 'rasta' baada ya kutahiriwa.Ndio huyo rasta?
Jomba sehem nyingine onesha nidham.Mashujaa waliyoiacha nchi kwenye ukabila wakutupwa!!??hahahahahahahaha
BarikiwaHuyo ni Field Marshal Musa Mwariama aliye kizimbani na 'rasta' fupi ndiye Waruhiu Itote, a.k.a General China wote wawili walikuwa wanaongoza vikosi vya wapiganaji wa Mau Mau. Pamoja na viongozi wengine kama Field Marshal Dedan Kimathi, General Mathenge, General Kahiu Itina na Field Marshal Muthoni Wa Kirima(mwanamke pekee aliyekuwa kwenye ngazi za juu za uongozi wa Mau Mau). Wa'rasta' ndio waliiga huo mtindo wa kufuga na kusokota nywele kutoka kwa Mau Mau enzi hizo za miaka ya 1940 na 50's. Huo ndio ulikuwa utamaduni wa wakikuyu tangu jadi, kwa wanaume. Vijana walikuwa wanaanza kufuga 'rasta' baada ya kutahiriwa.Picha ya mkikuyu, iliyopigwa mwaka wa 1910.
Dedan kimathi aliuliwa ajeHuyo ni Field Marshal Musa Mwariama aliye kizimbani na 'rasta' fupi ndiye Waruhiu Itote, a.k.a General China wote wawili walikuwa wanaongoza vikosi vya wapiganaji wa Mau Mau. Pamoja na viongozi wengine kama Field Marshal Dedan Kimathi, General Mathenge, General Kahiu Itina na Field Marshal Muthoni Wa Kirima(mwanamke pekee aliyekuwa kwenye ngazi za juu za uongozi wa Mau Mau). Wa'rasta' ndio waliiga huo mtindo wa kufuga na kusokota nywele kutoka kwa Mau Mau enzi hizo za miaka ya 1940 na 50's. Huo ndio ulikuwa utamaduni wa wakikuyu tangu jadi, kwa wanaume. Vijana walikuwa wanaanza kufuga 'rasta' baada ya kutahiriwa.Picha ya mkikuyu, iliyopigwa mwaka wa 1910.
Picha ya mkikuyu -Akili timamu🙏👏👏👏Huyo ni Field Marshal Musa Mwariama aliye kizimbani na 'rasta' fupi ndiye Waruhiu Itote, a.k.a General China wote wawili walikuwa wanaongoza vikosi vya wapiganaji wa Mau Mau. Pamoja na viongozi wengine kama Field Marshal Dedan Kimathi, General Mathenge, General Kahiu Itina na Field Marshal Muthoni Wa Kirima(mwanamke pekee aliyekuwa kwenye ngazi za juu za uongozi wa Mau Mau). Wa'rasta' ndio waliiga huo mtindo wa kufuga na kusokota nywele kutoka kwa Mau Mau enzi hizo za miaka ya 1940 na 50's. Huo ndio ulikuwa utamaduni wa wakikuyu tangu jadi, kwa wanaume. Vijana walikuwa wanaanza kufuga 'rasta' baada ya kutahiriwa.Picha ya mkikuyu, iliyopigwa mwaka wa 1910.
He was sentenced to death in a colonial court in Nyeri after being captured then shot.Dedan kimathi aliuliwa aje
Huyo hapo kama sijakosea ni múgíkúyú, kuna tofauti kubwa sana. 😎Picha ya mkikuyu -Akili timamuí ½í¹í ½í±í ½í±í ½í±
Ahaa, nilidhani aliharibiwa mapumbu.He was sentenced to death in a colonial court in Nyeri after being captured then shot.