Kwa Wakenya Wote Nawatakia Mashujaa Dei Njema Iliyo Na Heri Na Fanaka. Viva Kenya Na Mashujaa Wetu Wote Pia!!!

xeloxqja6urgp345bc9950f9c005.jpg
Rais wa Namibia Hage Geingob, Gavana Mike Sonko na waziri Monica Juma wakiwasili kwenye maadhimisho ya Mashujaa Dei.
fizzmxin5fm25bcb2ee28ba61.jpg
mashujaa-day-2018-1024x639.jpg
mashujaaday20181.jpg
thumbnail.php
1838031.jpg
Rais wa Namibia Hage Geingob wakiwa na rais Uhuru Kenyatta, Mh. Raila Odinga na D.P. William Ruto.
President-Uhuru-Kenyatta-and-other-dignitaries-at-the-Mashujaa-Day-Celebrations-in-Kakamega.jpg
 
Ndio huyo rasta?
Huyo ni Field Marshal Musa Mwariama aliye kizimbani na 'rasta' fupi ndiye Waruhiu Itote, a.k.a General China wote wawili walikuwa wanaongoza vikosi vya wapiganaji wa Mau Mau. Pamoja na viongozi wengine kama Field Marshal Dedan Kimathi, General Mathenge, General Kahiu Itina na Field Marshal Muthoni Wa Kirima(mwanamke pekee aliyekuwa kwenye ngazi za juu za uongozi wa Mau Mau). Wa'rasta' ndio waliiga huo mtindo wa kufuga na kusokota nywele kutoka kwa Mau Mau enzi hizo za miaka ya 1940 na 50's. Huo ndio ulikuwa utamaduni wa wakikuyu tangu jadi, kwa wanaume. Vijana walikuwa wanaanza kufuga 'rasta' baada ya kutahiriwa.
220px-Kikuyu_male_in_a_pony_tail_(Routledge_1910).jpg
Picha ya mkikuyu, iliyopigwa mwaka wa 1910.
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Barikiwa
 
Dedan kimathi aliuliwa aje
 
Picha ya mkikuyu -Akili timamu🙏👏👏👏
 
Back
Top Bottom