🤣🤣🤣 dah nikitoka kuchimba udongo nimechafuka balaa kulikua na braza home anafinya huyo, alikua ananifinya mashavu kwelikweli ila kesho naenda tena.
Hahahaha😂🤣🤣🤣 dah nikitoka kuchimba udongo nimechafuka balaa kulikua na braza home anafinya huyo, alikua ananifinya mashavu kwelikweli ila kesho naenda tena.
Ngoja nimtumie hii picha nimuulize hivi kaka kwanini ulikua unanifinya vile😂😂😂😂😂
Kweupe kama uso.Mtani kwenu naambiwa Leo kunafikika kwa mtumbwi😂