Kwa Wakristo ni lazima kutumia 2 Timotheo 4:7 kwenye tangazo la kila Mkristo aliyefariki ?

Lakini mbona maneno mazuri tu..
 
Unaweza kuta ambaye halindi mgongo wake naye ameandikiwa maneno hayo!
 
Siyo lazima hata chenye mwanzo hakikosi mwisho apumzike kwa amani chivayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…