Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaleta tofauti gani kwa marehemu au wafiwa au waombolezaji zikiachwa?Kwa waislam, ni lazima mtu akifa na nywele za kuunganisha awe mwanamke ama mwanamme ni lazima ziondolewe.
Hata kama ni ndefu lazima zipunguzwe tu.
Vipi kwa wakristo, kwa wale wanaojua watupe elimu
ana maana zinyolewe zote (km kaweka weaving au Rasta) na hata zile za sehemu nyingineNywele zinaunganishwaje? sijaelewa
sedition!Moderator please do the needful
Mnawaacha waende na laana Zao?Mwili siku zote ni kwamba huharibika ndiyo maana Biblia inaona kwamba apandaye katika mwili atavuna uharibifu,mtu akifa ule mwili ni mzoga tu hata uweke kwenye kaburi lipi la thamani kiasi gani bali roho ya mtu ndiyo utakaomkomboa kama alitenda mema mbinguni panamhusu
Na hili ndo lilikuwa lengo la uzi wako.Mnawaacha waende na laana Zao?
Kwa imani yangu ndio hivyo. Sijui wenye imani nyingine.Kweli?