fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za makanisa hamtakosawa wanawake