fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hapa wapi na KULE ni wapi?Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za makanisa hamtakosawa wanawake
baba paroko anaoa?kuwa humu sio tija na kuwa humu hawajuani lakini makanisani wanaoanana ana kwa anaHapa wapi na KULE ni wapi?
Mbona hai wanakwaya unaowasema wako humu wanafanya search na matching? Hata Baba Paroko naye hujamwona humu?
Hii Dunia inazunguka ujue!!!
sasa huko makanisani ndio kuna wanawake waliochanganyikiwa?Siwezi kuoa mwanamke aliyechanganyikiwa kiakili.
Sasa ile lugha wanayoitumia kwenye maombi ni lugha gani?sasa huko makanisani ndio kuna wanawake waliochanganyikiwa?
Zingatia usemi wangu wa mwisho"Hii Dunia inazunguka”baba paroko anaoa?kuwa humu sio tija na kuwa humu hawajuani lakini makanisani wanaoanana ana kwa ana