Kwa Wakubwa Tu na kwa Weekend Tu

Kwa Wakubwa Tu na kwa Weekend Tu

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Ukitaka ufaidi raha ya MAPENZI, usifanye na POLISI maana atakwambia "Mikono Juu" wala usifanye na Mhasibu maana atakwambia "Na huku lazima i-balance" au Nesi maana utasikia akisema "Mwingine Ingia. Nashauri sana oooh tena sana Mara zote fanya na MWALIMU maana Yeye utamsikia akisema "RUDIA TENA! NA TENA" kisha utamsikia akimalizia kwa kusema "Vizuri saaaaaaaaaaannnaaaaaaaaa...."

Muwe na weekend njema japo najua tarehe ni ngumu.
 
Loh!!!!!!!!!!! mi mke wangu ni mwanajeshi!!!
 
Hii imetulia mkuu..kumbe na wewe umo eeh!
 
Hahahahaha Rejao, usini-quote vibaya Mzee mwenzangu, nimeona leo tuache siasa kwanza tujifurahishe kwa jokes, hizi ni jokes tu they have nothing in serious.....ila huyo aliesema ni DIPLOMAT nimeogopa sana komenti za watu....
Hii imetulia mkuu..kumbe na wewe umo eeh!
 
Ukitaka ufaidi raha ya MAPENZI, usifanye na POLISI maana atakwambia "Mikono Juu" wala usifanye na Mhasibu maana atakwambia "Na huku lazima i-balance" au Nesi maana utasikia akisema "Mwingine Ingia. Nashauri sana oooh tena sana Mara zote fanya na MWALIMU maana Yeye utamsikia akisema "RUDIA TENA! NA TENA" kisha utamsikia akimalizia kwa kusema "Vizuri saaaaaaaaaaannnaaaaaaaaa...."

Muwe na weekend njema japo najua tarehe ni ngumu.

Tehe tehe!!! Nahisi RECEPTIONIST lazima akwambie njoo tena kesho
 
Huuui wewe mwenye Receptionist utachoka kukaribishwa, kila saa utaambiwa karibu tena eeh, pole mkuu
 
Ukitaka ufaidi raha ya MAPENZI, usifanye na POLISI maana atakwambia "Mikono Juu" wala usifanye na Mhasibu maana atakwambia "Na huku lazima i-balance" au Nesi maana utasikia akisema "Mwingine Ingia. Nashauri sana oooh tena sana Mara zote fanya na MWALIMU maana Yeye utamsikia akisema "RUDIA TENA! NA TENA" kisha utamsikia akimalizia kwa kusema "Vizuri saaaaaaaaaaannnaaaaaaaaa...."

Muwe na weekend njema japo najua tarehe ni ngumu.

Soo what?
 
Back
Top Bottom