Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu unaifahamu Defender 110 4x4xFar...ndo gari ninayoendesha....mlio wake unaupata?

Difenda ngumu sana, ni nzuri kama unataka kujifunza kuendesha magari ya mizigo mikubwa au mabasi ya mkoa
 
Mkuu heshima yako
Hapa sisi hatuna nia ya kumtoa mkwere madarakani na wala hatuandamani
Tunafanya mazungumzo ya kuona magari gani yangefaa kuwapeleka kazin abiria wetu Michelle, Lizzy, DA, Heren K, WL, Husninyo, shosti, susy Lily Flower n.k.
Na pia tulikuwa tunaangalia magari ambayo yalipaswa yatumiwe na wadada hawa kama FIAT, TATA, MSOSOLISO, TINGATINGA LA KAJIMA na JIEFANG wakati wa kwenda chikeni party, kama alivyopendekeza kamanda kloro

mkuu hili gari si limezoeleka city kubeba taka?:shock:
 
mkuu hili gari si limezoeleka city kubeba taka?:shock:

Ni kweli mkuu, ila zipo zile ambazo ni kama Hiace, zinapatikana Buguruni, Mwananyamala kwa Kopa, Sinza, Magomeni, Mabibo, na maeneo mengi ya uswahilini. Zenyewe hazitumii mafuta mengi, ila zina mlio safi sana hasa ukiwa ktk spidi kuanzia 80km/hr . . . injini zake ni ndogo halafu potabo. Ukizikanyaga mpaka 100km/hr zinaanza kuyumba-yumba au kunesa-nesa, utashangaa zinaanza kumwaga maji kabisa . .
 
Love you Keren, I am planning to formally propose on 1/4/2011. will you be there baby?

So sweet of you Kaizer!!! Ohhhh!! by then it might be too late dear, you better hurry up!

Wakuu
Naona mnaanza kuharibu sredi na kuanza kuitana majina ya kuamsha watoto na anda eitiini
Mara "oooh bebiiii, oooooh switi"
Kwani mmekuwa pipi za ukwaju???!!

:hatari:YOU HAVE BEEN WARNED!!:hatari:
 
Jamani marafiki, nice to say hello with you guys....ngoja niwahi kariakoo!!
Klorokwin nakusubiri.....:lol:

Kaizer, you better talk with mzee JOB...🙂
 
Wakuu
Naona mnaanza kuharibu sredi na kuanza kuitana majina ya kuamsha watoto na anda eitiini
Mara "oooh bebiiii, oooooh switi"
Kwani mmekuwa pipi za ukwaju???!!

:hatari:YOU HAVE BEEN WARNED!!:hatari:

Tumekuelewa Mod CPU........:shut-mouth:
 
Du! wewe umejua aina zote hizo za milio na umeshindwa kujua kama inauhusiano na msafiri au hamna?Ila nilishawahi sikia mingine ni usanii sio milio ya kweli.
 
Jamani marafiki, nice to say hello with you guys....ngoja niwahi kariakoo!!
Klorokwin nakusubiri.....:lol:

Kaizer, you better talk with mzee JOB...🙂
nakula bling bling nakuja. wakuu kaizer na cpu baadae bana
 
Back
Top Bottom