ungepiga horn kwa sauti bwana....sasa uliweza kumfundisha au nianze darasa? Lizzy ameelewa sema alitaka tu wewe umfundishe...its sweet you know....l.o.l
Dearest nilikuhitaji sana aisee...yani mi nlikua nachomekea tu..Bendera fuata upepo!
Lakin raha si umepata?
Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina yasiyokuwemo kwenye vyeti vyenu vya kuzaliwa.
Tuachanane na hayo,hoja yangu leo ni kuhusu milio ya magari na wasafiri.Yapo magari aina nyingi kama scania,fiat,Nissan march,Toyota hilux,Suzuki escudo,Nissan murrano,Leyland na mengine mengi.Ishu inakuja wakati wa safari kuna magari yanamlio mkubwa tangu mwanzo wa safari hadi mwisho,mengine hata kama hayana mzigo mkubwa yanalia kama yana tani 200 za sukari,mengine yanalia kama vile yapo na speed 160km/hr kumbe unaweza kukuta ni speed 20 tu.Mengine yanaunguruma kama simba,mengine yanatoa sauti kama vile gear imeingizwa bila kukanjangwa clutch,mengine mlio kama mafla zimepasuka,mengine kama vile yanatembelea rim.
Namengine yenyewe ni kimya kimya tu liwe na mzigo ,kona kali,mteremko mkali lenyewe ni kimya tu.Na mengine likiwashwa tu basi wapangaji woooote watajua baba,mama,dada au kaka flani kaanza safari
Swali ni hivi,je sauti na mlio wa gari au ukimya wa gari wakati wa safari unauhusiano wowote katika kumpa hamasa au kumwondolea raha msafiri?
Nawasililisha hoja kwa yeyote atakaye husika.
Sipiyuu, leo bichi bana kupata upepo. Tunakwenda na 109 short chasis kibandawazi. Natafuta hendeli ya kuwasha, angalia maji na oili. Waambie hao watoto wajiandae plz
Mkuu nimerudi sasa, gari lilizimika njiani nikasinzia
nakumbuka magari mengine yantoa muungurumo wa yaaaaaaaaaaaaaaanaah, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, jaaaaaaaaaaamaaaaaaaaaaaniiiii,iiiiiii
Ha haaa ha mengine yana amkia shikaoooooo!
Originally Posted by double bb
nakumbuka magari mengine yantoa muungurumo wa yaaaaaaaaaaaaaaanaah, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, jaaaaaaaaaaamaaaaaaaaaaaniiiii,iiiiiii
Na Madereva mahiri nao huongeza mbwembwe zao japo kwa kubania......
Sawa mkuu, waite hao wadada bana twende. Nimeshacheki gari kila kitu poa isipokua breki inabidi uwe unapampu adoado lakini wewe mzoefu najua
Sipiyuu, leo bichi bana kupata upepo. Tunakwenda na 109 short chasis kibandawazi. Natafuta hendeli ya kuwasha, angalia maji na oili. Waambie hao watoto wajiandae plz
\\Kama hupeni mlio wa gari lako, jaribu kutembelea 4wheel tuone, yani fanya kitu cha kwenye tope.
Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina yasiyokuwemo kwenye vyeti vyenu vya kuzaliwa.
Tuachanane na hayo,hoja yangu leo ni kuhusu milio ya magari na wasafiri.Yapo magari aina nyingi kama scania,fiat,Nissan march,Toyota hilux,Suzuki escudo,Nissan murrano,Leyland na mengine mengi.Ishu inakuja wakati wa safari kuna magari yanamlio mkubwa tangu mwanzo wa safari hadi mwisho,mengine hata kama hayana mzigo mkubwa yanalia kama yana tani 200 za sukari,mengine yanalia kama vile yapo na speed 160km/hr kumbe unaweza kukuta ni speed 20 tu.Mengine yanaunguruma kama simba,mengine yanatoa sauti kama vile gear imeingizwa bila kukanjangwa clutch,mengine mlio kama mafla zimepasuka,mengine kama vile yanatembelea rim.
Namengine yenyewe ni kimya kimya tu liwe na mzigo ,kona kali,mteremko mkali lenyewe ni kimya tu.Na mengine likiwashwa tu basi wapangaji woooote watajua baba,mama,dada au kaka flani kaanza safari
Swali ni hivi,je sauti na mlio wa gari au ukimya wa gari wakati wa safari unauhusiano wowote katika kumpa hamasa au kumwondolea raha msafiri?
Nawasililisha hoja kwa yeyote atakaye husika.
We CHANGE nitake radhi coz umenichekesha sana na post yako hadi watu wananiona kama hazinitoshi vile.......nitake rahi ndipo nichangie CHANGE.