The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hata mlio wa Bajaj sio poa tu au hata mlio wa pikipiki za TOYOukosekane kny milio,ningeshangaa sana!
Huo ndio ukweli mkuu gari bila mlio utajuaje kama limewaka... na lazima kuwa na milio tofauti likiwa silence wake na ukiweka gia unabadilika kufuatana na gia yenyewe.... four wheel drive nayo ina mlio wake.... Hivyo mlio ni jambo la muhimu sana :tongue:
Sister from another motherunaifahamu defender 4x4x Far....ndo hiyo kijana wangu....lol
you related?.....:focus:
Kama hupeni mlio wa gari lako, jaribu kutembelea 4wheel tuone, yani fanya kitu cha kwenye tope.
Angalizo: Magari yasiwe yanatoa moshiwakulu nina wasi wasi hapa 'magari' yataandamana muda sio mrefu.......
Kwa kweli sauti inahusika sana, lakini pia harufu ya oil, na jinsi inchini yake inavyovuja maji ni maswala mengine ya kuzingatia....!
Hahahaaa...... huu ni uchochezi wa kuvuruga amani, na kupindua jamvi....!wakulu nina wasi wasi hapa 'magari' yataandamana muda sio mrefu.......
Hata mlio wa Bajaj sio poa tu au hata mlio wa pikipiki za TOYO
my brother.......!!!:juggle:
Alright then i am waitinghahaha!mlio wa toyo watu wa garage watakufata nyumbani asee!afu ntakusemesha sun
Angalizo: Magari yasiwe yanatoa moshi
Ahaaaa haaaaa ahaaaa l.o.l DeodatMmmh! my brother tena? unataka kumnyima nini mwenzio?
Inchini zingine mkuu zikiwekwa gia moja tu huvuja oil nyingi na oil hizo huwa na harufu kali sana....! Hata hivyo ichini zingine hushika kutu mweupe....! Nayo ni mojawao ya angalizo pia...!Ha ha haaa we mkale konakali wa hiyo unashauri watu wasiweke oil za kupima waweke standard na premeum??
Hahahaaa...... huu ni uchochezi wa kuvuruga amani, na kupindua jamvi....!
sometimes milio inasaidia sana ila swala hiyo milio ya wengine wanaigiza na siyo ya asili utaona mkwere anajua kikwere tu ila cha ajabu..nooooh....nooooh...nooooh..noooooh....wanaigiza pono tu not original......tupende vya kwetu.