Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Kweli we ni babu lao lazima utakua unajua mengi ya humu duniani.
Huo ndio ukweli mkuu gari bila mlio utajuaje kama limewaka... na lazima kuwa na milio tofauti likiwa silence wake na ukiweka gia unabadilika kufuatana na gia yenyewe.... four wheel drive nayo ina mlio wake.... Hivyo mlio ni jambo la muhimu sana :tongue:
 
wakulu nina wasi wasi hapa 'magari' yataandamana muda sio mrefu.......
 
Ha ha haaa we mkale konakali wa hiyo unashauri watu wasiweke oil za kupima waweke standard na premeum??
Kwa kweli sauti inahusika sana, lakini pia harufu ya oil, na jinsi inchini yake inavyovuja maji ni maswala mengine ya kuzingatia....!
 
sometimes milio inasaidia sana ila swala hiyo milio ya wengine wanaigiza na siyo ya asili utaona mkwere anajua kikwere tu ila cha ajabu..nooooh....nooooh...nooooh..noooooh....wanaigiza pono tu not original......tupende vya kwetu.
 
Ha ha haaa we mkale konakali wa hiyo unashauri watu wasiweke oil za kupima waweke standard na premeum??
Inchini zingine mkuu zikiwekwa gia moja tu huvuja oil nyingi na oil hizo huwa na harufu kali sana....! Hata hivyo ichini zingine hushika kutu mweupe....! Nayo ni mojawao ya angalizo pia...!
 
yap! Kuna mausiano mana cku zote milio ya gal ndo humsababisha m2 kuchoka au kukeleka mana kama unasikiliza ki2 kilekile kwa masaa matatu lazma uzeeke au hujui hlo
 
Mkuu Chaja

Haya maelezo hata baadhi ya watu wazima wanaweza wakaingia chaka
Raha ya safari salama gari lisiwe mwendo kasi
Umeshahau Matrekta mkuu, achana na mabenzi, ma-VXX n.k
Mambo yote trekta, kwanza unauhakika mkubwa wa kutopata ajali
Mlio wake haukinai hata kidogo.
Gari lisipotoa mlio kwa kweli ni hata dereva itamuia vigumu kujua kama injini inafanya kazi. Uwepo mlio wa kiushikaji halafu pia liwe linayumba-yumba kidogo na kunanesa-nesa kama Nissan Patrol
 
sometimes milio inasaidia sana ila swala hiyo milio ya wengine wanaigiza na siyo ya asili utaona mkwere anajua kikwere tu ila cha ajabu..nooooh....nooooh...nooooh..noooooh....wanaigiza pono tu not original......tupende vya kwetu.

Taratibu mkuu, tuzungumzie magari Labda ungesema trekta linatoa mlio wa leyland
 
Back
Top Bottom