Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

hIVI MLIO WA TOYO UKOJE???

Halafu TOYO za siku hizi ukizikanyaga mwendo mkali hazitoi mlio, ila rejeta ndo inakuwa moto balaa halafu utashangaa gari linawasha taa full light automatically
 
Yaani huyu jamaa akija tu baasi
Kama hujaandaa mbavu zako umekwisha




Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:lol::lol::lol::lol::lol:


Afrodenzi mbona Avatar yako inaashiria unapenda kusafiri na VX...

CPU hebu mwambie Afrodenzi kuhusu Madereva wa mikokoteni! Kwanza huwawanachukua mda mrefu kufika, wakati mwengine hupokezana.....na wengi wao hupenda kutembea pekupeku!! LOL

 
ahaaa ahaaaa unaweza shangaaa inawaka moto moja kwa moja

Ukika-press kale ka batan ka katikati kwa juu si zinawaka taa zile za njano za kushoto na kulia, basi hapo kaka spidi ya kuwahi inakuwa kama msafara wa joji bushi
 

Tatizo kakulia gorofani, hajui kama hawa jamaa pia wanatoa majasho balaa. Hajui pia hawa jamaa wanatembea peku kwenye barabara kuu tena katikati wakati jua linawaka balaa, yaani usalama ni mdogo mno na hata mzigo unaweza usifike kwa bosi
 
Ukika-press kale ka batan ka katikati kwa juu si zinawaka taa zile za njano za kushoto na kulia, basi hapo kaka spidi ya kuwahi inakuwa kama msafara wa joji bushi

Siku hizi kila kitu batan, hata 4WD. Gari za zamani ukitaka kuweka 4WD lazima ushuke uende kwenye tairi za mbele
 
Nilitaka tu kujua zile chai maharage enzi ile ya Mzee Ruksa zilikuwa aina gani.

Zile zilikuwa zinajulikana kama KENTA.
Hazipatikani siku hizi lakin zilikuwa raha kweli kupanda. Hasa ule mkao wa kuangaliana USO KWA USO . . . . aaaaaah we acha tu, unapitiliza hadi kituo. Halafu sasa zile zilikuwa hazichuji mapema, na wala hazihitaji kuwekwa mataa na mahoni au kung'arishwa body lake ili zionekane nzuri. Yaani bodi orijino, taa za mvuto, mlio umetulia hata mchangani zinapita
 
Noise pollution-creat disruptions of the activity or balance of human or animal life. It is annoying, distracting, and/or it is physically harmful.
 
Love mbona nimetoka kapa mwenzio!

Michelleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee :horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
Michelleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee :horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
Hebu njoo umpe darasa la chiken pati mwenzio, ameshasahau kama anamiliki benzi
 

Unakumbuka dereva alivokuwa anawapanga abiria hasa akitaka kuwasogeza mbele?
 

Sasa badala yakunifundisha wewe mpenzi ?Ndo somo litanikaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…