Kwa wakulima makini

Kwa wakulima makini

Neykambulaje

New Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
4
Reaction score
1
MKOMBOZI WA WAKULIMA APATIKANA.

NI BIOPLUS ORGANIC SEAWOOD FERTILIZER.
Umefika wakati kwa wakulima wa kitanzania kuachana na utumiaji wa mbolea ambazo ardhi yetu kwa kuondoa rutuba mashambani na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao yetu siku hadi siku.

AINA ZA MBOLEA
1:Inorganic fertilizer
Ni zile mbolea za chumvuchumvi ambazo zipo za kupandia mfano.Minjingu,TSP,NPK,DAP n.k Pia zipo za kukuzia mfano.CAM,SA,UREA n.k.Hizi ni mbolea zenye makemikali ambayo yanaingia katika mazao tunayolima na hatimaye kutuletea magonjwa Kama kansa kwa sisi wenyewe walaji bila kujua.
Pia hizi kemikali ndio zinazosababisha kuua viumbe hai wanaoishi Kwenye udongo ambao wanaleta rutuba ardhini.

2:Organic fertilizer
Hizi ni mbolea asili zisizo na kemikali,mfano.samadi,mboji,majani mabichi na magugu ya baharini,ambazo unaweza ukatumia katika kilimo chako na ukapata matokea mazuri.

Ni wakati wa kutumia BIOPLUS mbolea iliyotengenezwa kutokana na magugu ya baharini na viumbe hai vilivyooza.Mbolea hii imeonyesha matokea mazuri kwa wakulima wachache ambao tayari tunaitumia.

FAIDA YA BIOPLUS
-Ni mbolea ambayo inatumika kwa mazao ya aina zote,Kama mazao ya chakula,biashara,mbogamboga,matunda,maua,miti n.k.
-Ni mbolea ambayo inatumika kwa kupandia na kukuzia.
-Haina sumu kwa mimea,viumbe hai,mifugo wala binadamu.
-Haiaribu mazingira wala ardhi.
-Inasaidia kukuza mizizi na kuipa uwezo wa kufyonza madini muhimu yanayohitajika kwa mmea.
-Inasaidia kuimarisha shina la mmea.
-Inawezasha kutengeneza kijani kibichi (chrolophily) ambayo itawezesha mmea kuwa na uwezo wa kutengeneza chakula.
-Inasaidia mmea kuhimili ukame,ubaridi na magonjwa mbalimbali.
-Inasaidia kuhifadhi unyevunyevu ardhini kwa muda mrefu.
-Inasaidia mazao yako kukaa muda mrefu baada ya mavuno.
-Inaongeza Kiwango na ubora wa mavuno yako.

Mkulima mwenzangu ni wakati sasa wa kunufaika kutokana na kilimo.Nakukaribisha kuungana nasi katika matumizi ya mbolea ya BIOPLUS kwa manufaa yetu na nchi yetu Tanzania.

call/watsup.0755931083
 
Ok thnkx NA.kama kuna mtu anahitaj superglo ni mbolea.nzur xn unaweza nucheck hapa 0768359292 bei poa xn
 
Back
Top Bottom