Kwa wakulima wa nyanya

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu habari za jioni????,Nimeshawahi kusikia Watu wengi wanaisifia mbegu ya Nyanya aina ya Rio Glande,Sasa mimi sijawahi kushuhudia kwa macho yangu kuona namna hizi Nyanya Zinavyozaa;Sasa kwa wale ambao walishawahi kuzilima au kuona Sehemu ziliko limwa watupe Ushuhuda km ni Kweli zinazaa sana,na je kwa wastani mche wake mmoja unaweza ukawa na Matunda mangapi??,Vipi kuhusu kudumu pasipo kuharibika(shelf life)?.Nawasilisha Wakuu.
 
ndo nimesikia ss, nasubiri njulishwe na mimi
 
Yah Ndio Nimemaliza Kuvuna Hiyo Mbegu Wiki Hii.Inazaa Sana Huwa Zinafikia Nyanya 40 mpaka 50 but this time nataka nipande hybrid na mwanga.So Nakushauri Kwa Mbegu Za Kawaida Panda Mwanga
 
Yah Ndio Nimemaliza Kuvuna Hiyo Mbegu Wiki Hii.Inazaa Sana Huwa Zinafikia Nyanya 40 mpaka 50 but this time nataka nipande hybrid na mwanga.So Nakushauri Kwa Mbegu Za Kawaida Panda Mwanga

mkuu hizo mbegu znapatikana wapi,mi nazisikia tu
 
Uko Wapi? Hiyo Inapatikana Maduka Yote Ya Pembejeo Ila Nakushauri Panda Mbegu Inayoitwa Mwanga
 
Yah Ndio Nimemaliza Kuvuna Hiyo Mbegu Wiki Hii.Inazaa Sana Huwa Zinafikia Nyanya 40 mpaka 50 but this time nataka nipande hybrid na mwanga.So Nakushauri Kwa Mbegu Za Kawaida Panda Mwanga

Asante mkuu!!,kwa hiyo tuseme Mwanga inazaa kuzidi Rio Glande siyo mkuu???!!!.
 
bila kusahau mbolea ya bioplus kwa uzalizhaji wa viwango vya juu
 
Kwa mbegu za nyanya za Rio Glande, wasiliana na East West Seed International 0784 466 734 au 0754 466 734
 
Kwa mbegu za nyanya za Rio Glande, wasiliana na East West Seed International 0784 466 734 au 0754 466 734

Mkuu ninashukuru sana!,nimeshapiga namba hizo nipata maelekezo mazuri sana,sasa kilichobaki ni utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…