Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Wakuu habari za jioni????,Nimeshawahi kusikia Watu wengi wanaisifia mbegu ya Nyanya aina ya Rio Glande,Sasa mimi sijawahi kushuhudia kwa macho yangu kuona namna hizi Nyanya Zinavyozaa;Sasa kwa wale ambao walishawahi kuzilima au kuona Sehemu ziliko limwa watupe Ushuhuda km ni Kweli zinazaa sana,na je kwa wastani mche wake mmoja unaweza ukawa na Matunda mangapi??,Vipi kuhusu kudumu pasipo kuharibika(shelf life)?.Nawasilisha Wakuu.