Kwa wakulima,wafugaji na wafanyabiashara.

Kwa wakulima,wafugaji na wafanyabiashara.

Joined
Nov 1, 2013
Posts
12
Reaction score
0
habari,
kwa wale wanaohitaji kulima hasa maharage mashamba ya kukodi yanapatikana na unaweza kulima mara3 kwa mwaka na kiwango cha chini ni gunia5 kwa heka,,
kwa wafugaji pumba na mashudu vinapatikana kwa bei nafuu na itakufikia popote ulipo,,
kwa wafanyabiashara maharage ya soya kiasi chochote utakacho.+
karibuni wanajamvi.
 
Gunia tano kwa eka? Maharagwe? Sijafanya bado biashara kichaa kama hiyo.
 
habari,
kwa wale wanaohitaji kulima hasa maharage mashamba ya kukodi yanapatikana na unaweza kulima mara3 kwa mwaka na kiwango cha chini ni gunia5 kwa heka,,
kwa wafugaji pumba na mashudu vinapatikana kwa bei nafuu na itakufikia popote ulipo,,
kwa wafanyabiashara maharage ya soya kiasi chochote utakacho.+
karibuni wanajamvi.

Pumba sh ngapi kwa gunia? Hali kadhalika mashudu.
 
Shamba mnakodisha sh ngapi na ni wapi? Na kulima mara tatu kwa mwaka ni kusema kilimo cha umwagiliaji?
 
Nafikiri huyu jamaa hayupo serious,yaan taarifa alizotoa hazijitoshelezi kabisa ktk kupata kile anachotaka na kile ambacho mtu anakitaka.Hasemi mashamba yapo wapi, mkoa gani wala bei.Tumwache apite tuu anapokimbilia.
 
Back
Top Bottom