Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuarikane bhs
AmenYesu ame yashinda mauti kwaajili yako, swala la mpenzi mbona ni dogo sana.
Mpenzi sio matako kwamba kila mtu awe nae.Kwa nini hamna wapenzi
Mimi namshukuru aliegundua TV maanake bila hili dubwasha sijui ningewezaje kukaa humu ndani peke yangu
Kwa kweli, uko poa lakini pacha? Heri ya pasakaMpenzi sio matako kwamba kila mtu awe nae.
Niko poa. Na wewe pia.Kwa kweli, uko poa lakini pacha? Heri ya pasaka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jamaniiiMpenzi sio matako kwamba kila mtu awe nae.
Wanapenda pesaaKwa nini hamna wapenzi
Mimi namshukuru aliegundua TV maanake bila hili dubwasha sijui ningewezaje kukaa humu ndani peke yangu
Mpenzi sio matako kwamba kila mtu awe nae.
Not alone mkuu, ya definitely not alone I tell you...Am Lonely As F.uck
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mpenzi sio matako kwamba kila mtu awe nae.
Nikupitie tukale Pasaka nimechoka kukaa ndani.Nipo Nipo tu
Mkuu mimi kwa bahati mbaya nimeingia kwa wahaya hapa kigamboni