Asante. That's lifePole sana
Mtu ukiwa chuoni unakuwa na mtazamo fulani juu ya kazi ambayo utaenda kufanya.Sasa ulisomea ya nin
Pesa ni kila kitu ila si kila kitu kwenye maisha.We shida yako nn....kazi au pesa
i guess umesomea " patient oriented " thats yMtu ukiwa chuoni unakuwa na mtazamo fulani juu ya kazi ambayo utaenda kufanya.
Lakini unaweza fika hapo ukakuta uhalisia uko tofauti kabisa
Sent using .... who cares anyway
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106]Dah...kwa kifupi ukifanya kazi usiyoipenda ufanisi huwa mdogo sana..hupati furaha..unakuwa na stilesi wakati wote... hata malipo yakiwa makubwa...[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
You might be right
Ni kweliTatizo mnasoma fani taaluma ambazo mnaona zina soko la ajira sio taaluma zile mnazoona mna passion nazo
Mkuu ebu nipe Mwanga kidg wa hiyo taaluma kama hutojali lknYou might be right
Sent using .... who cares anyway
Ni kila kitu kwenye nn
Njoo. PmMkuu ebu nipe Mwanga kidg wa hiyo taaluma kama hutojali lkn
If possible hata pm sawa tuu
Tupeane Ushaur kdg
Sent using Jamii Forums mobile app