Najua watu wengi sana ambao wapo katika kazi au ajira fulani ambayo kiukweli hawaipendi/hawaifurahii.
Je unapambana vipi na changamoto unazokumbana nazo? Umeweka mikakati ipi kuweza kujinasua?
Mimi nimesomea sekta ya afya na naimudu kiukweli upande wa ujuzi na utaalamu. Najitahidi sana kufanya kazi kwa weledi na uadilifu mzuri lakini najua kabisa moyo wangu uko kwingine.
Pona yangu ni kujiendeleza na elimu niweze kujikita zaidi kwenye field ninayoipenda.
Sent using .... who cares anyway