kwa hyo mkuu ni agrobsnes tu au na wengine? Nitoe waswas maana nko mbali!
Wakubwa me npo sua 2nd year. Msiitegemee kabisa website ye2. Jamaa wavivu kabisa kwenye mambo ya mitandao, ni mwendo wa noticeboard
Ina maana wanayachuja upya?!admission capact ni ngap?!ehuuu!cjui bod watakukurukaje na sakata hil!
Mkuu naomba msaada wako kama uko pande hizo za sua coz cnamuelekeo mkuu
Kaka kama huko hapo chuoni naomba unisaidie kunichekia jina langu kana liko au la coz niko mbali mkuu
Hey brother please kama unakwenda chek nichekie na mimi.Agrbsnes.Jna BONIFACE CHARLES
{brotr pleas if inawezekana ukienda kuchek chek na jna langu BONIFACE CHARLES.Agrbsnes so nakuomba brotherKama vp nibeep 0719661167 2tawacliana mkuu,tafadhali mkuu nisaidie
kaka unajua nn hyo course kuna baadhi ya majina ydmerudishwa tcu inaonekana waliochaguliwa ni wengi bt ucjali ntafuatlia then ntakuin4m.
Afu ni lazima kwenda kuchukua form coz wengn 2ko mbali na ha2na ndugu huko then mwisho wa kuchukua form ni lini na kuna kuchukuliana
poa mi nakusikilizia so ina maana kama yamerudi kitatokea nn kat ya chuo na Tcu na Mimi au ndo kukosa chuo?
Kaka nami naomba ukanichekie 'wildlife'
nibip kwa namba 0755558837 tuwasiliane naomba unisaidie please maana cna amani kabisa!
nimeku PM kaka angalia kwenye messege italikuta alafu ukilipata njulishe!Ntajaribu kukuchek ucjal bt jina lako ndo la umuhimu.