Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA

Wakubwa me npo sua 2nd year. Msiitegemee kabisa website ye2. Jamaa wavivu kabisa kwenye mambo ya mitandao, ni mwendo wa noticeboard
 
Ina maana wanayachuja upya?!admission capact ni ngap?!ehuuu!cjui bod watakukurukaje na sakata hil!
 
Wakubwa me npo sua 2nd year. Msiitegemee kabisa website ye2. Jamaa wavivu kabisa kwenye mambo ya mitandao, ni mwendo wa noticeboard

Nililiona hlo kaka wakati nafuatlia form, sawa kabisa
 
Kaka kama huko hapo chuoni naomba unisaidie kunichekia jina langu kana liko au la coz niko mbali mkuu
 
Hey brother please kama unakwenda chek nichekie na mimi.Agrbsnes.Jna BONIFACE CHARLES
 
kaka unajua nn hyo course kuna baadhi ya majina ydmerudishwa tcu inaonekana waliochaguliwa ni wengi bt ucjali ntafuatlia then ntakuin4m.
 
poa mi nakusikilizia so ina maana kama yamerudi kitatokea nn kat ya chuo na Tcu na Mimi au ndo kukosa chuo?
 
Kaka nami naomba ukanichekie 'wildlife'
nibip kwa namba 0755558837 tuwasiliane naomba unisaidie please maana cna amani kabisa!
 
Afu ni lazima kwenda kuchukua form coz wengn 2ko mbali na ha2na ndugu huko then mwisho wa kuchukua form ni lini na kuna kuchukuliana
 
Kuchukuliana 4m nahc hajuna coz kuna sehemu ya kusahih mwanafunzi aliyechukua 4m bt unaweza ukazidownload kuptia web yao na mwisho cjajua bt tar 8 chuo kinafunguliwa.
 
poa mi nakusikilizia so ina maana kama yamerudi kitatokea nn kat ya chuo na Tcu na Mimi au ndo kukosa chuo?

Wanadai coz imechukua wanafunzi weng sasa cjajua nn kitatokea, ila ntaenda ntakus2a ucjali, ww ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom