Jemsi Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 149 Reaction score 19 Sep 6, 2012 #1 Hapari zenu wana jf! Naombeni mnisaidi mimi jina langu halionekani web ya chuo na ni first round,jamani waliopewa feedback na tcu tujuzane zaidi,kwa wale wa mucobs nao wapo kwa yaliyonikuta?
Hapari zenu wana jf! Naombeni mnisaidi mimi jina langu halionekani web ya chuo na ni first round,jamani waliopewa feedback na tcu tujuzane zaidi,kwa wale wa mucobs nao wapo kwa yaliyonikuta?