Kwa wale ambao majina yao hayapo chuoni nje na udom

Kwa wale ambao majina yao hayapo chuoni nje na udom

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
19
Hapari zenu wana jf! Naombeni mnisaidi mimi jina langu halionekani web ya chuo na ni first round,jamani waliopewa feedback na tcu tujuzane zaidi,kwa wale wa mucobs nao wapo kwa yaliyonikuta?
 
Back
Top Bottom