Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Hata mie ni hivyo ila nackia wengine zimekaa sawa ! Ata cjui ni nn! LolJamani wana jamvi; mimi jina langu halipo kwenye ile orodha ya second round app. but nikiingia kwenye profile yangu, af niki-klick ile application batton; ninaletewa yale maneno ya 2nd round app.!! mf. 1st come 1st save basis! but jina langu kwenye orodha halipo! vip wenzangu na nyie ni hivyo au ni mietu?? 2SAIDIANE JAMAN.
Pole binadamu mwenzangu! Libarikiwe tumbo lililokuzaaNyie ndo mliohaulishiwa matokeo ya f vI? Ni janga la elimu ya Tanzania nyie
Nyie ndo mliohaulishiwa matokeo ya f vI? Ni janga la elimu ya Tanzania nyie
Jamani wana jamvi; mimi jina langu halipo kwenye ile orodha ya second round app. but nikiingia kwenye profile yangu, af niki-klick ile application batton; ninaletewa yale maneno ya 2nd round app.!! mf. 1st come 1st save basis! but jina langu kwenye orodha halipo! vip wenzangu na nyie ni hivyo au ni mietu?? 2SAIDIANE JAMAN.
Nyie matokeo yenu ni yale yaliyorekebishwa baada ya tume ya Pinda (wapigwe tu hao) kupitia matokeo ya fom IV kuishinikiza NECTA kutumia mtindo wa zamani kwa fVI?
kwa walioapply through diploma,kwa maana ya link ya NACTE,naona wameondoa ile button ya edit selection,ni kwangu tu au kwa wote?hapa ni ikiwa jina lako halipo kwenye majina ya diploma not selected