Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Jamani wana jamvi; mimi jina langu halipo kwenye ile orodha ya second round app. but nikiingia kwenye profile yangu, af niki-klick ile application batton; ninaletewa yale maneno ya 2nd round app.!! mf. 1st come 1st save basis! but jina langu kwenye orodha halipo! vip wenzangu na nyie ni hivyo au ni mietu?? 2SAIDIANE JAMAN.