Gorilla Zoo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 257
- 412
Wakuu tushauliane vinywaji gani vyenye stimu za fasta na bei nafuu maana viroba ndo vishapotea hivyo mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nasikia inakwangua kuanzia midomo koo hadi utumboKaribuni konyagi pori aka gongo
[emoji26] [emoji26] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mkuu hali ni mbaya[emoji26] [emoji26] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
duhMachozi ya Simba Hapa kwa mama Mwailo mia3 tu...
www.mamamuuza.comWakuu tushauliane vinywaji gani vyenye stimu za fasta na bei nafuu maana viroba ndo vishapotea hivyo mtaani
Hizo ni hiana tuu mkuuuMkuu nasikia inakwangua kuanzia midomo koo hadi utumbo
duh kweli tunaisomaNina Arosto ya kiroba hapa ila hamna noma naanza kuvuta petrol sijui watafungia na wao