witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haaa haaa ...buku mbili mtu analewaaaa full kelele..Kwa hili wamewaweza
Heshima lazima irudi kwa mnywa bia!
Haiwezekani mtu anabuk mbili tu alewe na kusumbua mtaa mzima kila siku!
Sasa mtakuwa mnalewa kwa matukio
Safi sana Majaliwa