kwa wale ambao tuliokua tukitumia (viroba) piteni hapa tushauriane kwa kuelekea

Kwa hili wamewaweza
Heshima lazima irudi kwa mnywa bia!

Haiwezekani mtu anabuk mbili tu alewe na kusumbua mtaa mzima kila siku!
Sasa mtakuwa mnalewa kwa matukio
Haaa haaa ...buku mbili mtu analewaaaa full kelele..

Safi sana Majaliwa
 
balimi za buku jero bana zipo....au kuna bia naona zinaitwa eagle buk na miambili tuu...sema stimu hadi unze na gongo
 
Kwa hili wamewaweza
Heshima lazima irudi kwa mnywa bia!

Haiwezekani mtu anabuk mbili tu alewe na kusumbua mtaa mzima kila siku!
Sasa mtakuwa mnalewa kwa matukio
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kwani wewe ulishindwa nini kusumbua??
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kwani wewe ulishindwa nini kusumbua??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu stimu ya viroba ilikuwa inawaelemea vijana!
inawapelekea uwehu ambao kwa bia kuufikia lazima pesa itembee kidogo
 
balimi za buku jero bana zipo....au kuna bia naona zinaitwa eagle buk na miambili tuu...sema stimu hadi unze na gongo
Wewe unanipigia hesabu ya balimi ya buku jero? Kwani mpaka niifikie ile stimu ya viroba nimekunywa kreti ngapi???
Na wakati buku tatu nilipata vifurushi vyangu daily na fegi za jero[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Heshima kiroba itabaki palepale.

Katika harakati zote za awamu hii hakuna hata sehemu niliyokuwa nimefuswa aseee
Sasa naabza kuuona uchungu wa maamuzi ya awamu hii.

Kama mimi niliyeliona taarifa ya kupigwa viroba marufuku nilishtuka! Je vipi wale wengine aseeee.....

Mwaka huuu ama msimy huu kweli shidaa.

Kama sasa hivi nilishakata roki mapeeeeeeema kwa jero
 
Naona wengi wamehamia kwenye balimi" na wa bangi wameamia ugoro.
 
Reactions: Dyf
hahaha...pole sana mkuu...kila goti litagigwa kwa ngosha ....hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe lingine
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu stimu ya viroba ilikuwa inawaelemea vijana!
inawapelekea uwehu ambao kwa bia kuufikia lazima pesa itembee kidogo
Kwa hiyo mnataka tuseme wanywa bia mmeamua kutufanyia hiana si ndio???[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] .

Kama kulemewa vijana wamelemewa na madawa na sio viroba mkuuu

Tunatangaza bifu la wanywa bia na wanywa viroba[emoji125] [emoji125] nikachukue zana kwanza[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nyinyi mmemwaga viroba sisi tutamwaga damu[emoji379] [emoji380] [emoji378] [emoji375]
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mshapigwa tatu bila mpaka sasa!

Viroba vimekua adimu kwel, fuata mapendekezo ya wakuu wengine humu wametoa njia mbadala
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mshapigwa tatu bila mpaka sasa!

Viroba vimekua adimu kwel, fuata mapendekezo ya wakuu wengine humu wametoa njia mbadala
Wangeweka tu faini bhana sio na mwezi juu huku ni kumuonea mlevi wa chini na kubaguana katoka starehe, kati ya wenye nacho na wasio nscho

Kwanza vipi hivi pm hana binti kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Anae
ila Jesca atakufaa zaid
 
Kunyweni gongo kwani hamna????
Maana mlisha fanya booking kuzimu labda kwa rehema ya Mungu mtapona..!
 
Kunyweni gongo kwani hamna????
Maana mlisha fanya booking kuzimu labda kwa rehema ya Mungu mtapona..!
booking ya kuzimu hata ww unayo unaweza ukapanda majinjah ukapata ajali na ku rest in peace mda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…